# Amoni. Hili lilikuwa kundi la watu ambalo yawezekana liliishi karibu na Edomu, mashariki mwa mto Yorodani. # Hason-tamari. Hili ni jina jingine la En-gedi.