sw_tn/2ch/19/08.md

12 lines
188 B
Markdown

# Nyumba za mababu wa Israeli.
Familia za mababu wa Israeli.
# Kwa ajili ya kufanya hukumu.
"Kusaidia kutatua mabishano"
# Kwa moyo wako wote.
Kufanya jambo kwa kujitoa au kwa bidii.