# Nyumba za mababu wa Israeli. Familia za mababu wa Israeli. # Kwa ajili ya kufanya hukumu. "Kusaidia kutatua mabishano" # Kwa moyo wako wote. Kufanya jambo kwa kujitoa au kwa bidii.