sw_tn/2ch/19/01.md

305 B

Mwana wa Hanani.

Yuhu ni jina la mwanaume alikuwa mtoto wa Hanani.

Unapaswa kuwa unawasaidia waovu? Unapaswa kuwapenda wanaomchukia Yahwe?

"Hupaswi kuwasaidia waovu! Hupaswi kuwapenda wale wamchukia Yahwe"

Maashera.

Angalia sura ya 14:1

Umeukaza moyo wako.

"Kuamua kwa nguvu au kikamilifu"