# Mwana wa Hanani. Yuhu ni jina la mwanaume alikuwa mtoto wa Hanani. # Unapaswa kuwa unawasaidia waovu? Unapaswa kuwapenda wanaomchukia Yahwe? "Hupaswi kuwasaidia waovu! Hupaswi kuwapenda wale wamchukia Yahwe" # Maashera. Angalia sura ya 14:1 # Umeukaza moyo wako. "Kuamua kwa nguvu au kikamilifu"