sw_tn/2ch/18/19.md

12 lines
219 B
Markdown

# Kumrubuni.
Hii ina maana ya kumvutia mtu kwa kumpa kitu cha kuvutia.
# Kuanguka.
"Kuumia sana " au "kufa"
# Mmoja alaisema hivi na mwingine hivi.
Hii inaashiria kwamba palaikuwa na maoni au mawazo zaidi ya moja.