sw_tn/2ch/18/19.md

219 B

Kumrubuni.

Hii ina maana ya kumvutia mtu kwa kumpa kitu cha kuvutia.

Kuanguka.

"Kuumia sana " au "kufa"

Mmoja alaisema hivi na mwingine hivi.

Hii inaashiria kwamba palaikuwa na maoni au mawazo zaidi ya moja.