sw_tn/2ch/18/15.md

252 B

Ni mara angapi ninapaswa kukutaka akuapa kutoniambia kitu chochote ispokuwa kweli katika jina la Yahwe?

"Nilishakwambia kwamba unapaswa kusema au kuniambia ukweli tu katika jina la Yahwe"

Kama kondoo wasio na mchungaji.

"Wasio na uongozi mzuri"