# Ni mara angapi ninapaswa kukutaka akuapa kutoniambia kitu chochote ispokuwa kweli katika jina la Yahwe? "Nilishakwambia kwamba unapaswa kusema au kuniambia ukweli tu katika jina la Yahwe" # Kama kondoo wasio na mchungaji. "Wasio na uongozi mzuri"