sw_tn/2ch/18/12.md

320 B

Mikaya

Angalia sura ya 17:7.

Tafadhali maneno yako yawe kama mmoja wa wao na sema mambo mema.

Hii ni rejea kwa maneno yote ya ujumbe wa manabii.

Kwa kinywa kimoja.

"Kwa wazo moja" au "kwa kukubaliana wote".

Kama Yahwe aishivyo.

"Nawahakikishia kuwa jambo hili ni kweli."

Au la?

"Au hatupaswi kuenda".