sw_tn/2ch/18/12.md

20 lines
320 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mikaya
Angalia sura ya 17:7.
# Tafadhali maneno yako yawe kama mmoja wa wao na sema mambo mema.
Hii ni rejea kwa maneno yote ya ujumbe wa manabii.
# Kwa kinywa kimoja.
"Kwa wazo moja" au "kwa kukubaliana wote".
# Kama Yahwe aishivyo.
"Nawahakikishia kuwa jambo hili ni kweli."
# Au la?
"Au hatupaswi kuenda".