sw_tn/2ch/18/09.md

16 lines
285 B
Markdown

# Mwana wa Kenaani.
Zedekia aalikuwa mmoja wa manabii wa uongo.
# Pembe za chuma.
Hii inamaana ya pembe za ng'ombe (kambaku) lakini zilizotengenezwa kwa chuma.
# Mtawasukuma Waaramu hadi waangamie."
"Mtawashinda".
# Yahwe ameutia kwenye mkono wa mfalme.
"Yahwe atawapa ushindi"