sw_tn/2ch/18/09.md

285 B

Mwana wa Kenaani.

Zedekia aalikuwa mmoja wa manabii wa uongo.

Pembe za chuma.

Hii inamaana ya pembe za ng'ombe (kambaku) lakini zilizotengenezwa kwa chuma.

Mtawasukuma Waaramu hadi waangamie."

"Mtawashinda".

Yahwe ameutia kwenye mkono wa mfalme.

"Yahwe atawapa ushindi"