sw_tn/2ch/15/10.md

20 lines
369 B
Markdown

# Kwa hiyo walikusanyika
Hawa ni makabila ya Yuda na Israeli yaliyokuwa pamoja na Asa.
# Mwezi wa tatu.
Huu ni mwezi wa tatu wa kalenda ya Kiebrania
# Ni mwezi unaotokea mwishoni mwa Mei na mwanzoni mwa Juni kaatika kalenda ya magharibi
Tatu...kumi na tano
# Tatu(3)...Kumi na tano (15)
Mwezi wa tatu.
# Mia saba...elfu saba
Mia saba (700)...Elfu saba (7,000)