sw_tn/2ch/15/10.md

369 B

Kwa hiyo walikusanyika

Hawa ni makabila ya Yuda na Israeli yaliyokuwa pamoja na Asa.

Mwezi wa tatu.

Huu ni mwezi wa tatu wa kalenda ya Kiebrania

Ni mwezi unaotokea mwishoni mwa Mei na mwanzoni mwa Juni kaatika kalenda ya magharibi

Tatu...kumi na tano

Tatu(3)...Kumi na tano (15)

Mwezi wa tatu.

Mia saba...elfu saba

Mia saba (700)...Elfu saba (7,000)