sw_tn/2ch/12/11.md

325 B

Ikawa kwamba Mfalme kila alipoingia.

Inaashiria tukio malumu katika historia. Lugha nyingi zina namna yake ya kusema kipindi hiki muhimu.

Gadhabu ya Yahwe ikampisha mbali, kwa hiyo hakuwaangamiza kabisa kabisa.

"Yahwe hakuwa na hasira naye tena, na kwa hiyo hakumwaangamiza kabisa kabisa"

Pembeni.

"Kwa nyongeza "