sw_tn/2ch/12/11.md

12 lines
325 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa kwamba Mfalme kila alipoingia.
Inaashiria tukio malumu katika historia. Lugha nyingi zina namna yake ya kusema kipindi hiki muhimu.
# Gadhabu ya Yahwe ikampisha mbali, kwa hiyo hakuwaangamiza kabisa kabisa.
"Yahwe hakuwa na hasira naye tena, na kwa hiyo hakumwaangamiza kabisa kabisa"
# Pembeni.
"Kwa nyongeza "