sw_tn/2ch/12/07.md

420 B

Wamejinyenyekeza.

"Mfalme na viongozi wengine wa Israeli walikuwa wamejinyenyeza wenyewe," Mfalme na viongozi wengine ni maneno yanayowakilisha au yenye maana ya watu wote wa Isaraeli.

Neno la Yahwe likamjia.

"Yahwe alisema neno lake."

Nitawaokoa kwa hatua fulani.

Nitawaokoa wasiangamie kwa kabisa kabisa

Hasira yangu haitamiminwa juu ya Yerusalemu.

"Sitaiachilia hasira yangu yote dhidi ya Yerusalemu"