sw_tn/2ch/11/20.md

4 lines
176 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Mahalathi alikuwa binti wa Yerimothi. Mfalme Rehoboamu alimuoa huyu binti akawa mkewe, baadaye Rehoboamu huyu huyu alimuoa Maaka, yaani binti wa Absalomu.