# Maelezo ya jumla: Mahalathi alikuwa binti wa Yerimothi. Mfalme Rehoboamu alimuoa huyu binti akawa mkewe, baadaye Rehoboamu huyu huyu alimuoa Maaka, yaani binti wa Absalomu.