forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
347 B
Markdown
8 lines
347 B
Markdown
# Watu kutoka kabila zote za Israeli wakaja nyuma yao, wale walio wameiilekeza mioyo yao kumtafuta Yahwe.
|
|
|
|
Watu kutoka makabila ya ufalme wa Kaskazini(Israeli) ambao walikuwa bado wanamwabudu Bwana Mungu walikimbilia Yuda.
|
|
|
|
# Wakatembea kwa miaka mitatu katika njia ya Daudi na Selemani.
|
|
|
|
"Waliufuata mfano wa Daudi na Selemani kwa miaka mitatu".
|