sw_tn/2ch/11/16.md

347 B

Watu kutoka kabila zote za Israeli wakaja nyuma yao, wale walio wameiilekeza mioyo yao kumtafuta Yahwe.

Watu kutoka makabila ya ufalme wa Kaskazini(Israeli) ambao walikuwa bado wanamwabudu Bwana Mungu walikimbilia Yuda.

Wakatembea kwa miaka mitatu katika njia ya Daudi na Selemani.

"Waliufuata mfano wa Daudi na Selemani kwa miaka mitatu".