sw_tn/2ch/10/08.md

325 B

Rehoboamu akapuuza ushauri.

"Rehoboamu hakufuata ushauri"

Wanaume vijana.

"Wanaume vijana" jinsi wasivyo na hekima na uzoefu katika mambo ukilinganisha na wanaume wazee ambao walikuwa washauri wa Selemani.

Ambao walikuwa wa rika lake, ambao walisimama mbele yake.

Waliokuwa rafiki zake wa muda mrefu, walimshauri.