# Rehoboamu akapuuza ushauri. "Rehoboamu hakufuata ushauri" # Wanaume vijana. "Wanaume vijana" jinsi wasivyo na hekima na uzoefu katika mambo ukilinganisha na wanaume wazee ambao walikuwa washauri wa Selemani. # Ambao walikuwa wa rika lake, ambao walisimama mbele yake. Waliokuwa rafiki zake wa muda mrefu, walimshauri.