sw_tn/2ch/07/13.md

432 B

Kama nitazifunga mbingu ili kwamba kusiwepo mvua.

"Kuizuia mvua" (Tazama: Mifano).

Waimeze nchi.

Neno "nchi" limetumika kumaanisha ",mimea na mazao yote"

Kuutafuta uso wangu.

"Kumtafuta Mungu" au kujaribu kumfanya Mungu akupe usikivu".

Macho yangu yatakuwa wazi na masikio yangu yatasikiliza.

Maneno "macho" na "masikio" yana maana ya Mungu, ambaye huchagua kuona na kusikia maombi yao: "Nitawaona na nitawasikiliza"