sw_tn/2ch/07/13.md

16 lines
432 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama nitazifunga mbingu ili kwamba kusiwepo mvua.
"Kuizuia mvua" (Tazama: Mifano).
# Waimeze nchi.
Neno "nchi" limetumika kumaanisha ",mimea na mazao yote"
# Kuutafuta uso wangu.
"Kumtafuta Mungu" au kujaribu kumfanya Mungu akupe usikivu".
# Macho yangu yatakuwa wazi na masikio yangu yatasikiliza.
Maneno "macho" na "masikio" yana maana ya Mungu, ambaye huchagua kuona na kusikia maombi yao: "Nitawaona na nitawasikiliza"