sw_tn/2ch/06/18.md

737 B

Lakini kweli Mungu ataishi na wanadamu juu ya dunia?.

"Lakini Mungu, kwa hakika hutaishi kabisa na wanadamu juu ya dunia." (Tazama: tini rg rquestion).

dunia yoye na mbingu yenyewe.

Angalia ulivyoitafisiri hii katika 2:6.

Sikia kilio na maombi.

Neno "kilio" na "maombi" yana maana moja. Kwa pamoja yanaweka msisitizo wa maombi yake: nakusihi jibu maombi yangu ya kumaanisha." (Tazama: tini double)

Ambapo uliahidi kuliweka jina lako.

"Ambapo ulisema utawafanya watu wakujue".

Fumbua macho yako kuelekea hekalu hili usiku na mchana.

Tafadhali wasaidie wanaokuja kwako katika "hekalu, wakati wowote—usiku au mchana."

Maombi atakayaoomba mtumishi wako kuelekea sehemu hii.

Mwandishi anaomba akiwa ameelekea Hekalu.