# Lakini kweli Mungu ataishi na wanadamu juu ya dunia?. "Lakini Mungu, kwa hakika hutaishi kabisa na wanadamu juu ya dunia." (Tazama: tini rg rquestion). # dunia yoye na mbingu yenyewe. Angalia ulivyoitafisiri hii katika 2:6. # Sikia kilio na maombi. Neno "kilio" na "maombi" yana maana moja. Kwa pamoja yanaweka msisitizo wa maombi yake: nakusihi jibu maombi yangu ya kumaanisha." (Tazama: tini double) # Ambapo uliahidi kuliweka jina lako. "Ambapo ulisema utawafanya watu wakujue". # Fumbua macho yako kuelekea hekalu hili usiku na mchana. Tafadhali wasaidie wanaokuja kwako katika "hekalu, wakati wowote—usiku au mchana." # Maombi atakayaoomba mtumishi wako kuelekea sehemu hii. Mwandishi anaomba akiwa ameelekea Hekalu.