sw_tn/2ch/06/14.md

311 B

Watumishi wako ambao hutembea mbele zako kwa moyo wako wote.

"Sisi ambao hujibidisha kikamilifu kufanya kile unachotutaka tufanye".

Ulisema kwa kinywa chako na umetimiza kwa mkono wako.

Hii ina maanisha ahadi ambayo Mungu alifanya na Daudi kwamba mwanaye atamjengea hekalu: "Umetimiza ahadi ahadi yako."