# Watumishi wako ambao hutembea mbele zako kwa moyo wako wote. "Sisi ambao hujibidisha kikamilifu kufanya kile unachotutaka tufanye". # Ulisema kwa kinywa chako na umetimiza kwa mkono wako. Hii ina maanisha ahadi ambayo Mungu alifanya na Daudi kwamba mwanaye atamjengea hekalu: "Umetimiza ahadi ahadi yako."