sw_tn/2ch/01/14.md

12 lines
372 B
Markdown

# Katika miji ya magari.
Hii inataja miji ambayo iliyohifadhi magari yake.
# akatengeneza fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe katika Yerusalemu.
Fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe.
# na mbao za mierezi kuwa kama miti ya mikuyu iliyomo katika nyanda za chini
"mbao adimu na zenye thamani ziagizwazo mbali zikawa zikapatikana kw wingi sana."