sw_tn/2ch/01/14.md

372 B

Katika miji ya magari.

Hii inataja miji ambayo iliyohifadhi magari yake.

akatengeneza fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe katika Yerusalemu.

Fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe.

na mbao za mierezi kuwa kama miti ya mikuyu iliyomo katika nyanda za chini

"mbao adimu na zenye thamani ziagizwazo mbali zikawa zikapatikana kw wingi sana."