forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
824 B
Markdown
32 lines
824 B
Markdown
# Adamu aliumbwa kwanza
|
|
|
|
"Adamu ni mtu wa kwanza ambaye Mungu alimuumba kwanza" au "Adamu aliumbwa kwanza na Mungu"
|
|
|
|
# Baadaye Eva
|
|
|
|
"Baadaye Eva aliumbwa"
|
|
|
|
# Adamu hakudanganywa
|
|
|
|
"Na adamu hakuwa wa kwanza kudanganywa na Nyoka"
|
|
|
|
# lakini mwanamke alidanganywa na kukosa kabisa
|
|
|
|
"Kutotii amri za Mungu kwa sababu alikuwa alikuwa amedanganywa kabisa" lengo kuu katika kifungu hiki ni kuwa alikuwa Eva na siyo Adamu ambaye (Kwanza) hakutii sheria za Mungu.
|
|
|
|
# Ataokolewa kwa kuzaa watoto
|
|
|
|
"Mungu atamweka salama bila shaka kupitia maisha ya kawaida"
|
|
|
|
# Kama wataendelea
|
|
|
|
"Kama watabaki" au "Kama wataendelea kuishi"
|
|
|
|
# katika Imani na upendo na utakaso
|
|
|
|
"Katika kumwamini Yesu na kuwapenda wengine na kuishi maisha matakatifu"
|
|
|
|
# pamoja na uzima na akili njema
|
|
|
|
"na kuwa na kiasi" au "Na ufahamu wa kujua ni kipi kizuri zaidi"
|