sw_tn/1sa/30/05.md

540 B

Taarifa ya jumla:

Daudi anapata nguvu kwa Bwana baada ya uvamizi.

Ahinoamu Myezreeli

"Ahinoamu toka Yezreeli"

Nabali Mkarmeli

"Nabali toka Karmeli"

Ahinoamu ... Abigaili

Haya ni majina ya wanawake

dhiki

Mateso

roho za watu wote zilihuzunika

"watu wote walikuwa tayari kuasi dhidi ya Daudi" au "watu wote hawakuwa na furaha"

Daudi alijiimarisha katika BWANA, Mungu wake

Yaweza kuwa na maana ya 1) "Daudi alijiimarisha kwa sababu alijua kuwa Bwana Mungu wake atamsaidia" au 2) "Bwana Mungu wake alimpa nguvu Daudi"