sw_tn/1sa/30/01.md

244 B

Ziklagi

Huu ni mji uliopo kusini mwa Yuda. Huku ndiko ambapo Daudi na watu wake waliziweka familia zao.

Wao

Waamaleki

Mkubwa na mdogo

Yaweza kuwa na maana ya 1) "watu wasio na umuhimu na wenye umuhimu" au 2) "watu wakubwa na wadogo"