# Ziklagi Huu ni mji uliopo kusini mwa Yuda. Huku ndiko ambapo Daudi na watu wake waliziweka familia zao. # Wao Waamaleki # Mkubwa na mdogo Yaweza kuwa na maana ya 1) "watu wasio na umuhimu na wenye umuhimu" au 2) "watu wakubwa na wadogo"