sw_tn/1sa/29/01.md

405 B

chemchemi

Ni mkondo mdogo wa maji unaotoa maji toka ardhini.

wakapita na mamia kwa maelfu

"akaenda pamoja na kundi la mamia kwa kundi la maelfu"

mamia ... maelfu

100 ...1,000

Daudi na watu wake wakapita wakiwa wa mwisho pamoja na Akishi

Kundi la watu mamia na ma walipita kwanza kisha Akishi na wasaidizi wake na Daudi, watu wake na askari wengine wa Wafilisti waliokuwa wakimlinda Akishi.