sw_tn/1sa/29/01.md

16 lines
405 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# chemchemi
Ni mkondo mdogo wa maji unaotoa maji toka ardhini.
# wakapita na mamia kwa maelfu
"akaenda pamoja na kundi la mamia kwa kundi la maelfu"
# mamia ... maelfu
100 ...1,000
# Daudi na watu wake wakapita wakiwa wa mwisho pamoja na Akishi
Kundi la watu mamia na ma walipita kwanza kisha Akishi na wasaidizi wake na Daudi, watu wake na askari wengine wa Wafilisti waliokuwa wakimlinda Akishi.