sw_tn/1sa/28/18.md

12 lines
403 B
Markdown

# BWANA atamweka Israeli pamoja na wewe katika mkono wa Wafilisti
"Bwana atawaruhusu Wafilisti wawafanyie chochote wanachotaka kuwafanyia wewe pamoja na watu wa Israeli"
# mtakuwa pamoja nami
Hii ni njia nzuri ya kumwambia Sauli kuwa atakufa.
# BWANA pia ataliweka jeshi la Israeli katika mkono wa Wafilisti
"Bwana atawaruhusu Wafilisti wawafanyie chochote wanachotaka kuwafanyia jeshi la Israeli"