sw_tn/1sa/28/18.md

403 B

BWANA atamweka Israeli pamoja na wewe katika mkono wa Wafilisti

"Bwana atawaruhusu Wafilisti wawafanyie chochote wanachotaka kuwafanyia wewe pamoja na watu wa Israeli"

mtakuwa pamoja nami

Hii ni njia nzuri ya kumwambia Sauli kuwa atakufa.

BWANA pia ataliweka jeshi la Israeli katika mkono wa Wafilisti

"Bwana atawaruhusu Wafilisti wawafanyie chochote wanachotaka kuwafanyia jeshi la Israeli"