forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
602 B
Markdown
16 lines
602 B
Markdown
# Mwanangu
|
|
|
|
Sauli hakuwa baba yake na Daudi. Sauli anazungumza kama vile alikuwa baba yake na Daudi kuonesha kuwa anataka Daudi amuamini na amtii kama vile Daudi anavyomuamini na kumtii baba yake.
|
|
|
|
# Kwa nini bwana wangu anamwandama mtumishi wake?
|
|
|
|
"bwana wangu hana sababu yoyote ya kumwandama mtumishi wake"
|
|
|
|
# Nimefanya nini?
|
|
|
|
Yaweza kuwa na maana ya 1) Daudi anataka Sauli amjibu swali hili au 2) "unajua kabisa sijafanya lolote kukudhuru."
|
|
|
|
# Mkononi mwangu kuna uovu gani?
|
|
|
|
Yaweza kuwa na maana ya 1) "unajua kuwa sijafanya lolote bata kwako" au 2) "unaona kuwa sijapanga kukufanyia lolote baya"
|