sw_tn/1sa/26/17.md

602 B

Mwanangu

Sauli hakuwa baba yake na Daudi. Sauli anazungumza kama vile alikuwa baba yake na Daudi kuonesha kuwa anataka Daudi amuamini na amtii kama vile Daudi anavyomuamini na kumtii baba yake.

Kwa nini bwana wangu anamwandama mtumishi wake?

"bwana wangu hana sababu yoyote ya kumwandama mtumishi wake"

Nimefanya nini?

Yaweza kuwa na maana ya 1) Daudi anataka Sauli amjibu swali hili au 2) "unajua kabisa sijafanya lolote kukudhuru."

Mkononi mwangu kuna uovu gani?

Yaweza kuwa na maana ya 1) "unajua kuwa sijafanya lolote bata kwako" au 2) "unaona kuwa sijapanga kukufanyia lolote baya"