sw_tn/1sa/26/06.md

428 B

Ahimeleki ... Abishai

Haya ni majina ya wanaume.

Seruya

Jina la mwanamke.

nitashuka ... mpaka

Inaonekana kuwa Daudi na watu wake walikuwa kilimani.

Mimi nitashuka

"nitaka kuwa mmoja ambaye nitashuka"

Mungu amemweka adui yako mkononi mwako

"Mungu amekupa kumtawala kabisa adui yako"

nimchome mkuki nimtoboe hadi chini kwa mkuki

"kumuua kwa mkuki"

Sitampiga mara mbili

"sihitaji kkumpiga mara ya mbili"