sw_tn/1sa/26/06.md

28 lines
428 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ahimeleki ... Abishai
Haya ni majina ya wanaume.
# Seruya
Jina la mwanamke.
# nitashuka ... mpaka
Inaonekana kuwa Daudi na watu wake walikuwa kilimani.
# Mimi nitashuka
"nitaka kuwa mmoja ambaye nitashuka"
# Mungu amemweka adui yako mkononi mwako
"Mungu amekupa kumtawala kabisa adui yako"
# nimchome mkuki nimtoboe hadi chini kwa mkuki
"kumuua kwa mkuki"
# Sitampiga mara mbili
"sihitaji kkumpiga mara ya mbili"