sw_tn/1sa/25/37.md

286 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anamuhukumu Nabali

divai ilipokuwa imemtoka Nabali

"Nabali hakuwa amelewa tena hivyo hakuwa na furaha tena"

moyo wake ukafa ndani yake

Nabali alishindwa kusogea kwa sababu aliogopa sana afya yake haikuwa nzuri tena yamkini kwa sababu alipata mshtuko.