sw_tn/1sa/25/37.md

12 lines
286 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anamuhukumu Nabali
# divai ilipokuwa imemtoka Nabali
"Nabali hakuwa amelewa tena hivyo hakuwa na furaha tena"
# moyo wake ukafa ndani yake
Nabali alishindwa kusogea kwa sababu aliogopa sana afya yake haikuwa nzuri tena yamkini kwa sababu alipata mshtuko.