sw_tn/1sa/25/32.md

20 lines
426 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Daudi anakubali ushauri wa Abigaili na zawadi zake.
# Bwana ... abarikiwe yeye
Hii inaweza kutafsiriwa kama 1) "Namtukuza Bwana ... yeye" au 2) "watu wote wamtukuze Bwana ... yeye"
# Na hekima yako imebarikiwa, nawe umebarikiwa, kwa sababu
"Namshukuru Bwana kwa sababu amekubariki wewe kwa kukupa hekima na kwa sababu"
# kumwaga damu
mauaji
# kwa mkono wangu mwenyewe
"kwa matendo yangu mwenyewe"