sw_tn/1sa/25/32.md

426 B

Taarifa ya jumla:

Daudi anakubali ushauri wa Abigaili na zawadi zake.

Bwana ... abarikiwe yeye

Hii inaweza kutafsiriwa kama 1) "Namtukuza Bwana ... yeye" au 2) "watu wote wamtukuze Bwana ... yeye"

Na hekima yako imebarikiwa, nawe umebarikiwa, kwa sababu

"Namshukuru Bwana kwa sababu amekubariki wewe kwa kukupa hekima na kwa sababu"

kumwaga damu

mauaji

kwa mkono wangu mwenyewe

"kwa matendo yangu mwenyewe"