sw_tn/1sa/25/29.md

674 B

kukuandama

"kukimbiza" au "kuwinda"

uhai wa bwana wangu utafungwa katika furushi la walio hai na Bwana Mungu wako

"Bwana Mungu wako atayafunga maisha ya bwana wangu katika furushi la walio hai" au "Bwana Mungu wako atakuweka hai pamoja na walio hai"

Maisha ya Bwana wangu

Abigaili anajizungumzia mwenyewe kwa Daudi kama vile ni watu wawili ili kuonesha heshima kwa Daudi.

atayatupa maisha ya adui zako mbali, kama vile kutoka katika mfuko wa kombeo.

"Atawaua adui zako kwa urahisi kama mtu anayetupa kombeo umbali mrefu"

Kombeo

Ni kipande cha ngozi ya mnyama chenye kamba ndefu kwenye miisho yote ambapo mtu anaweza kuweka jiwe na kulirusha umbali mrefu.