forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
674 B
Markdown
20 lines
674 B
Markdown
|
# kukuandama
|
||
|
|
||
|
"kukimbiza" au "kuwinda"
|
||
|
|
||
|
# uhai wa bwana wangu utafungwa katika furushi la walio hai na Bwana Mungu wako
|
||
|
|
||
|
"Bwana Mungu wako atayafunga maisha ya bwana wangu katika furushi la walio hai" au "Bwana Mungu wako atakuweka hai pamoja na walio hai"
|
||
|
|
||
|
# Maisha ya Bwana wangu
|
||
|
|
||
|
Abigaili anajizungumzia mwenyewe kwa Daudi kama vile ni watu wawili ili kuonesha heshima kwa Daudi.
|
||
|
|
||
|
# atayatupa maisha ya adui zako mbali, kama vile kutoka katika mfuko wa kombeo.
|
||
|
|
||
|
"Atawaua adui zako kwa urahisi kama mtu anayetupa kombeo umbali mrefu"
|
||
|
|
||
|
# Kombeo
|
||
|
|
||
|
Ni kipande cha ngozi ya mnyama chenye kamba ndefu kwenye miisho yote ambapo mtu anaweza kuweka jiwe na kulirusha umbali mrefu.
|